Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Brahim Diaz achaguliwa kwenye timu ya taifa ya Morocco

Brahim Diaz Achaguliwa Kwenye Timu Ya Taifa Ya Morocco Brahim Diaz achaguliwa kwenye timu ya taifa ya Morocco

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam imetozwa faini ya Sh milioni 1 na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa kosa la shabiki wake mmoja kuonekana akimwaga kitu mfano wa unga uwanjani wakati wa mapumziko katika mchezo dhidi ya Singida FG. - Taarifa iliyotolewa leo Machi 9, 2024 na TPLB, imefafanua kuwa adhabu hiyo ni kwa mujibu wa kanuni ya 41:5 ya ligi kuu kuhusu udhibiti kwa wachezaji. - TPLB pia imeeleza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin amepewa onyo kwa kosa la kuingia kwenye chumba cha kuvalia katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji FC na kuzungumza na wachezaji dakika chache kabla ya mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live