Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boxer matumaini kibao Ihefu FC

Paul Godfrey Boxer.jpeg Paul Godfrey

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa beki wa kulia wa Yanga ambaye kwa Sasa anachezea Ihefe FC Paul Godfrey 'Boxer' anaendelea kujinoa na kikosi chao kwa ajili ya michezo ijayo ya NBC Premier League.

Aliyewahi kuwa beki wa kulia wa Yanga ambaye kwa Sasa anachezea Ihefe FC Paul Godfrey 'Boxer' anaendelea kujinoa na kikosi chao kwa ajili ya michezo ijayo ya NBC Premier League. Ihefu mpaka Sasa wamecheza mechi 2 wameshinda 1 dhidi ya Kagera Sugar ( 1-0) na kufungwa mchezo mmoja dhidi ya Geita Gold ( 1-0) hivyo bado wanajitafuta tofauti na miamba ambayo imeshinda mechi zao mbili zote kwa kishindo Kama Yanga, Azam na Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: