Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bournemouth wamtimua Kocha

Skysports Gary Oneil Bournemouth 6161820 Gary O'Neil

Mon, 19 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Bournemouth imethibitisha kuachana na mkufunzi Gary O'Neil baada ya kuisimamia klabu hiyo kwenye mechi 37 za msimu uliopita akishinda mechi 10, sare 6 na vipigo 11 huku akiibakisha klabu hiyo kwenye Ligi kuu England.

Akizungumzia hatua hiyo, Mmiliki na mwenyekiti wa AFC Bournemouth Bill Foley amesema "Mafanikio ya Gary msimu uliopita ni moja ya mambo ambayo nitashukuru siku zote. Huu umekuwa uamuzi mgumu, lakini umefanywa kwa umakini mkubwa ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi kabla ya msimu ujao

"Gary ataendelea kuwa na maisha marefu kama kocha mkuu au meneja, lakini tunahisi kwamba, kwa wakati huu, mabadiliko ni kwa manufaa ya klabu hii ya soka. Ningependa kuweka rekodi ya shukrani zangu kwa Gary na kumtakia kila la kheri kwa siku zijazo."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live