Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boufal awaomba radhi Waafrika

Sofyan Boufal Bb Winga wa timu ya Taifa Morocco, Sofiane Boufal

Thu, 8 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa timu ya Taifa Morocco, Sofiane Boufal amewaomba radhi Waafrika wote juu ya kauli yake kwamba ‘ushindi wa Morocco dhidi ya Uhispania ni kwa ajili ya Waarabu na Wamorocco.’

“Samahani kwa kusahau kulitaja bara lote la Afrika jana katika katika mahojiano baada ya mechi.”

“Asanteni kwa kuwa nyuma yetu, ushindi huu ni kwa ajili yenu pia bila shaka.” amesema nyota huyo wa klabu ya Ligue1 ya Angers.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live