Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bosi Vital'O: Yanga akitufunga najiuzulu

Bacutiii Bosi Vital'O: Yanga akitufunga najiuzulu

Wed, 14 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti @arsene_bucuti amesema iwapo Yanga itaifunga Vital’O kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa atajiuzulu kuwa msemaji wa timu hiyo.

Bucuti ameyasema hayo kwenye kipindi cha radio cha Sports Arena cha Wasafi FM.

"Mimi Young Africans akinifunga nitajiuzuru, mechi ya kwanza tu akinifunga naachia ngazi," amesema Bacuti.

Vital’O itawaalika Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Agosti 17, 2024 kwenye Dimba la Azam Complex, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: