Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bosi Sheffield Wednesday atembeza bakuli

Skysports Chansiri Wednesday 6342790 Mmiliki wa klabu ya Sheffield Wednesday, Dejphon Chansiri

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mmiliki wa klabu ya Sheffield Wednesday inayoshiriki daraja la pili nchini Uingereza, Dejphon Chansiri amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kuichangia klabu kiasi cha paundi milioni 2 kwa ajili ya kulipa mishahara ya wachezaji pamoja na kukidhi mahitaji mengine ya klabu,

Mmiliki huyo alisema kuwa

"Ikiwa watu 20,000 watatoa kiasi cha paundi £100 basi itakuwa ni sawa na jumla ya paundi milioni 2, hivyo Kiasi hicho cha pesa kitatosha kugharamikia kila kitu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live