Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bosi Saudi Arabia afichua kilichokwamisha dili la Salah

MoSalah Vs Brighton Bosi Saudi Arabia afichua kilichokwamisha dili la Salah

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Al-Ittihad, Al-Haili alithibitisha kwamba alifikia makubaliano kamili na Mohamed Salah wa Liverpool msimu uliopita wa joto ili Staa huyo kutua Saudi Arabia.

Rais wa Al-Ittihad, Al-Haili alithibitisha kwamba alifikia makubaliano kamili na Mohamed Salah wa Liverpool msimu uliopita wa joto ili Staa huyo kutua Saudi Arabia. Mpango huo haukukamilika kwa sababu ya kuambiwa na Maafisa wa Saudia kwamba hakuna bajeti ya kukamilisha mpango huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live