Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bosi Azam FC apewa onyo kali na Bodi ya Ligi

POPATTTT Abdulkarim Amin "Popat"

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPBL imempa onyo kali Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Azam Fc Abdulkarim Amin kwa kosa la kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha klabu hiyo kuzungumza na wachezaji dakika chache kabla ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji.

Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPBL imempa onyo kali Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Azam Fc Abdulkarim Amin kwa kosa la kuingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha klabu hiyo kuzungumza na wachezaji dakika chache kabla ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji. Azam kwenye mchezo huo uliofanyika kwenye dimba la nyumbani la klabu hiyi [Azam Complex] waliibamiza Dodoma Jiji kwa jumla ya magoli 4-1, Azam kwasasa imekuwa na mwendelezo bora sana kwenye Ligi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live