Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bonus ya Yanga kwa CR Belouzdad ni kubwa kuliko 5G ya Simba

Yanga Kimataifa.png Bonus ya Yanga kwa CR Belouzdad ni kubwa kuliko 5G ya Simba

Sat, 24 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

BONUS YA MCHEZO WA KESHO INAZIDI YA 5G

Afisa habari wa Yanga Sc, Ally Kamwe amekiri kuwa bonus ambayo imewekwa mezani inazidi bonus ambayo wachezaji walipta kwenye mechi DHIDI ya Simba Sc

Kwa mujibu wa Ali Kamwe Kwa msimu huu mechi ya Simba ndio ilikuwa na bonus kubwa kuliko mechi zote za Yanga Sc

Lakini mambo yanaweza yakawa zaidi siku ya leo ambapo Yanga Sc itacheza na CR Belouizdad.

Yanga inahitaji ushindi wa kuanzia goli 4 kwa bila ili kufuzu moja kwa moja hatua ya Robo fainali bila kujali matokeo ya mechi nyingine vinginevyo watasubiri mpaka michezo wa raundi ya sita ikamilike ili kujua nani atasonga mbele.

Mpka kufika mchana huu tiketi zote za VIP A zimeuzwa na zilizobaki ni VIP B , C na Tiketi za Mzunguko.

Mwananchi unatakiwa kuwa sehemu ya historia hii nyingine ambayo Yanga tunatafuta kuiweka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live