Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boka, Baleke huenda wakaikosa Vital'O

Yanga Kikosi 2024 M Kikosi cha Yanga.

Fri, 9 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji Jean Baleke (23) na Chadrack Boka (24) wameruhusiwa kuitumikia klabu ya Yanga. ITC zao zimetumwa sasa ni ruksa kuitumikia Young Africans SC.

Wanaweza kukosa mechi za awali dhidi ya Vital'O CAF Champions league lakini mechi zinazofuata (CAF) watacheza kwa sababu (ITC) zao zilichelewa kufika.

Kwa upande wa mashindano ya ndani ni ruksa kuitumikia klabu hiyo hata leo.

Klabu mama zilizowalea ziliweka pingamizi kuhusu usajili wao na kupelekea (ITC) zao kuchelewa kufika kwa kuwa zilitaka nazo kulipwa sehemu ya pesa ya usajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: