Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi ya Ligi yawatoa hofu mashabiki wa Yanga na JKT

Meja Jenerali Isamuyo AbH1K Bodi ya Ligi yawatoa hofu mashabiki wa Yanga na JKT

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokana na Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuwa na changamoto ya kujaa maji mvua zinaponyesha, Bodi ya Ligi (TPLB) imewatoa hofu mashabiki wa soka na kusema mchezo huo upo kama kawaida.

Kutokana na Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuwa na changamoto ya kujaa maji mvua zinaponyesha, Bodi ya Ligi (TPLB) imewatoa hofu mashabiki wa soka na kusema mchezo huo upo kama kawaida. Katika kikao hicho cha mechi (Pre Match Meeting) kinachokutanisha Bodi na timu husika kimeamuru mchezo huo upigwe na kama kuna mabadiliko yatafanyika hapo hapo kiwanjani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live