Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi ya Ligi yatoa angalizo kwa Vilabu

Nelson Mandela Stadium Miongoni mwa viwanja vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu, Nelson Mandela

Fri, 5 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Tanzania imezitaka klabu za Ligi Kuu kutumia kipindi hiki kifupi cha mapumziko kuboresha viwanja vyao.

Baada ya raundi tano za awali, Ligi Kuu ya Tanzania Bara imesimama kuanzia Novemba 19 kupisha mechi za kufuzu Kombe la Dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live