Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi ya Ligi yakiri makosa ya kiuandishi, yatoa kauli hii..!

Bodi Ya Ligi Marekebisho Bodi ya Ligi yakiri makosa ya kiuandishi, yatoa kauli hii..!

Sun, 15 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutoa taarifa ya maboresho kwenye ya Ligi kuu ya NBC 2023/23 hapo Jana Oktoba 14, 2023, BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa imegundua kosa la kiuandishi katika tarehe ya mchezo kati ya Tabora United dhidi ya KMC FC.

Kupitia taarifa yake kwa umma ya leo Oktoba 15, 2023, TPLB imefafanua mchezo huo uliandikwa kimakosa kuwa ungechezwa Oktoba 23, 2023 badala ya Oktoba 22, 2023.

Hivyo mchezo huo utachezwa Oktoba 22, 2023 majira ya 10:00 jioni katika dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Bodi inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: