Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi ya Ligi yabadilisha muda mchezo wa Azam FC vs Yanga

Azam FC Kuumana Na Yanga Marchi 17 Bodi ya Ligi yabadilisha muda mchezo wa Azam FC vs Yanga

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania imefanya mabadiliko ya muda wa mechi ya Azam Fc dhidi ya Yanga ili kutoa muda wa wachezaji kufuturu.

Mechi itapigwa Jumapili hii Machi 17, 2024, saa 2:30 usiku ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa. Awali mchezo huo ulipangwa kupigwa 1:00 usiku

Azam FC waliomba kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya Azam complex kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga SC.

Michezo (10) ya mwisho Overall;

◉ 3 - 2 Azam — 23 Oct 2023

◉ 2 - 0 Azam — 9 Aug 2023 (Ngao)

◉ 1 - 0 Azam — Final (FA)

◉ 3 - 2 Azam — 25 Dec 2022

◉ 2 - 2 Azam — 6 Sep 2022

◉ 2 - 1 Azam — 6 Apr 2022

◉ 2 - 0 Azam — 30 Oct 2021

◎ 0 - 1 Azam — 25 Apr 2021

◉ 1 - 0 Azam — 25 Nov 2020

◉ 0 - 0 Azam — 21 Jun 2020.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: