Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi ya Ligi yaahirisha Mechi ya Kagera vs Simba SC

Simba Pic Wachezaji wa Simba wamekumbwa na

Sat, 18 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezo kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba SC uliyokuwa uchezwe saa 16:00 katika Uwanja wa Kaitaba Bukoba umeahirishwa.

Sababu za kuahirishwa mchezo huo zinatajwa kuwa ni kuumwa homa na mafua kwa baadhi ya wachezaji, taarifa ambayo ilitolewa jana na Kocha msaidizi wa Simba SC Seleman Matola kuwa robo tatu ya wachezaji wa Simba wanaumwa.

Hii Hapa taarifa kamili kutoka Bodi ya Ligi;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live