Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodi ya Ligi, hili nalo mpaka muambiwe?

Mtobwa Mz At 16.jpeg Bodi ya Ligi, hili nalo mpaka muambiwe?

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tunajisifu kuwa ligi yetu ni ya (6) kwa ubora Afrika halafu klabu inaitangaza kampuni ya kimataifa (NIKE) bila kuingia nayo mkataba.

Mtibwa sugar wameenda kusagula jezi zenye nembo ya NIKE bila makubaliano yoyote ya kimkataba na wanazitumia ligi kuu Tanzania bara bila wasiwasi. Hii ni aibu kwa bodi ya ligi, TFF na Ligi Kuu yenyewe.

Kama Mtibwa Sugar wangepoteza jana dhidi ya Namungo wangeshuka daraja rasmi kwenda Championship. Wamebakiza michezo miwili yote ugenini.

◉ vs Mashujaa FC.

◉ vs Ihefu FC.

Full — Mtibwa sugar 0 - 0 Namungo.

(1997 - 2024) Kwa heri Mtibwa Sugar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live