Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bocco kulipwa mkwanja mrefu zaidi JKT

John Bocco JKT Tz Bocco kulipwa mkwanja mrefu zaidi JKT

Wed, 24 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa zamani wa Azam na Simba, John Raphael Bocco amevuta zaidi ya Tsh 50 milioni kutoka JKT Tanzania ikiwa ni fedha kwa ajili ya usajili ‘signing fee’.

Nahodha wa zamani wa Azam na Simba, John Raphael Bocco amevuta zaidi ya Tsh 50 milioni kutoka JKT Tanzania ikiwa ni fedha kwa ajili ya usajili ‘signing fee’. Bocco atakuwa akilipwa mshahara wa Tsh 6 milioni kwa mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wake na yeye ndio mchezaji anakunja kiasi kikubwa cha mshahara kwa wachezaji wote wa JKT Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live