Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Boateng atangaza kutundika Daluga

Bsc Boateng 1920 1 Kevin-Prince Boateng

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kevin-Prince Boateng (36) ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa baada ya kutumikia vilabu zaidi ya 15 barani Ulaya ikiwemo Barcelona na AC Milan.

Kevin-Prince Boateng (36) ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa baada ya kutumikia vilabu zaidi ya 15 barani Ulaya ikiwemo Barcelona na AC Milan. Akiwa Mchezaji Boateng kwa ngazi ya Klabu alifanikiwa kucheza Mechi 520 na kufunga magoli 76,assist 56 na kutwaa Makombe matano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live