Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bingwa wa kamari EPL anavyopitia msoto

Sandro Tonali Uraibuuu Sandro Tonali

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Kitaliano anaekipiga Newcastle United Sandro Tonali anacheza kamari kuliko maelezo.

Sasa hivi anapigania kuondokana na hali hiyo ya uraibu wa kucheza kamari (gambling addiction) ambayo imethibitishwa na wakala wake Giuseppe Rossi.

Taarifa zinasema anafanya mazoezi na klabu yake huku akipambana kutaka kuondokana na hali hiyo ya kucheza kamari kuliko pitiliza na kukesha kwenye casino.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live