Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bingwa Kombe la Dunia kuvuta bil 98.3

Ufaransa Argentina Nm.jpeg Bingwa Kombe la Dunia kuvuta bil 98.3

Sun, 18 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshindi wa fainali leo ya Kombe la Dunia, kati ya Argentina na Ufaransa, ataondoka na Dola milioni 42 sawa na Shilingi bilioni 98.319.

Atakayemaliza nafasi ya pili atavuna dola milioni 30 sawa na Shilingi bilioni 70 huku.

Baada ya kushika nafasi ya nne katika mashindano ya Kombe la Dunia, timu ya Taifa ya Morocco imevuna Dola milioni 25 ambazo sawa na Shilingi bilioni 58.523.

Morocco imeshika nafasi hiyo baada ya kufungwa na Croatia mabao 2-1 na mpinzani wake kushika nafasi ya tatu hivyo kuondoka na Dola milioni 27 sawa na Shilingi bilioni 63.

Timu nne zilizofuzu robo-fainali wote watapata Dola milioni 17 sawa na Shilingi bilioni 39 timu nane zilizoshindwa katika hatua ya 16 bora zikiondoka na Dola bilioni 13 sawa na Shilingi bilioni 30.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live