Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Mkapa

Mkapa Stadium Ndani Uwanja wa Benjamin Mkapa

Thu, 27 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bilion 30 zimetolewa na Serikali kupitia Wizara ya utamaduni Sanaa na Michezo kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa.

Bilion 30 zimetolewa na Serikali kupitia Wizara ya utamaduni Sanaa na Michezo kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara Said Yakubu amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea,vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live