Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bila vipimo vya Afya,huchezi Ligi Kuu

AFYA Wachezaji Wachezaji wa Azam FC wakifanya vipimo vya Afya

Wed, 5 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema mchezaji yeyote ambaye hatapima afya haturuhusiwa kucheza Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara msimu ujao (2023/2024).

Tayari Klabu mbalimbali zimeonekana zikiwafanyia wachezaji wao vipimo tayari kujiandaa kwa msimu ujao.

Tazama na usome kwa urefu Taarifa ya Bodi ya Ligi hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: