Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Biko Scanda: Waamuzi wetu wa hovyo, Gamondi hakupaswa kumaliza mchezo

Gamondi A68Q.jpeg Biko Scanda: Waamuzi wetu wa hovyo, Gamondi hakupaswa kumaliza mchezo

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutokea sintofahamu baina ya Kocha wa Yanga Miguel Gamondi dhidi ya waamuzi wa mchezo wa jana dhidi ya Kagera Sugar.

Mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya Branding Biko Scanda ameandika;

Miguel Gamond hakupaswa kumaliza mechi, alipaswa kupigwa kadi NYEKUNDU na hata baada ya mchezo kuisha alipaswa kupigwa kadi nyekundu na nitashangaa kwa nini asifungiwe kwa sababu nimeshangazwa na UOGA wa Waamuzi kushindwa hata kumpa kadi ya NJANO kwa Vurugu zile alizofanya na kutia doa ligi yetu.

Nimewashangaa saana hawa waamuzi kwa kuwapa kadi ya NJANO Madaktari walokwenda kunusuru maisha ya mchezaji aliyeonekana kaumia vibaya. Unajiuliza hawa waaamuzi wanawaza nini wanapokua uwanjani kinachopelekea kuwa na maamuzi ya hovyo kiasi hiki..?

Unajiuliza walokwenda kuokoa maisha wameadhibiwa, aliyewadhalilisha waamuzi kwa kutaka KUWAWAMBA makofi ameachwa akiogopwa. Imeleta picha mbaya saaana kwenye ligi yetu ni aibu kwa waamuzi wetu kushindwa kuamua mambo madogo kama haya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: