Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Biko Scanda CEO Mpya Ihefu

Biko Scanda CEO Biko Scanda CEO Mpya Ihefu

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Ihefu imemtangaza Biko Scanda kuwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake Mbarali mkoani Mbeya.

Vijana wanaendelea kupewa nafasi kwa ukubwa wake kwenye soka.

Baada ya kutoa darasa sehemu mbalimbali kwenye soka sasa ni wakati wa kwenda kuonesha kwa vitendo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live