Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Biashara United nao wanakuja na tamasha la Biashara Day

Biasharautdmara 1691069755183.jpeg Biashara United nao wanakuja na tamasha la Biashara Day

Thu, 3 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Championship, Biashara United imeona sio vibaya kuiga kwa wakubwa zake wa Ligi Kuu kwa kuja na tamasha la Biashara Day litakalofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Agosti 26, 2023.

Timu ya Championship, Biashara United imeona sio vibaya kuiga kwa wakubwa zake wa Ligi Kuu kwa kuja na tamasha la Biashara Day litakalofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Agosti 26, 2023. Licha ya mambo mengi wataitumia siku hiyo kutangaza kikosi chao kipya cha msimu mpya wa 2023/24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live