Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bernado Silva awekewa mkwanja mrefu PSG

Bernardo Silva Ds Bernado Silva awekewa mkwanja mrefu PSG

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva, anawindwa na klabu ya Paris St-Germain ya Ufaransa.

Kiungo wa kati wa Manchester City na Ureno Bernardo Silva, anawindwa na klabu ya Paris St-Germain ya Ufaransa. Mabingwa hao wa Ufaransa wako tayari kulipa dau la Pauni milioni 51 kwa mchezaji huyo mwenye miaka 29.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live