Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bernado Silva aitaka Barcelona

Bernado Silva Bernad Bernado Silva

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bernardo Silva amekuwa akihusishwa na kuhamia Barcelona mara kadhaa misimu iliyopita, lakini safari hii tetesi zinasema kiungo huyo wa kati wa Ureno ameamua kuondoka Manchester City ana nia ya kuhamia Barcelona.

Bernardo Silva amekuwa akihusishwa na kuhamia Barcelona mara kadhaa misimu iliyopita, lakini safari hii tetesi zinasema kiungo huyo wa kati wa Ureno ameamua kuondoka Manchester City ana nia ya kuhamia Barcelona. Silva mwenye umri wa miaka 30 ni mmoja wa wachezaji bora kabisa wa safu ya kiungo duniani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live