Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bernado Silva aingia anga za Ronaldo EPL

Bernado X Ronaldo Bernado Silva aingia anga za Ronaldo EPL

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Benardo Silva amefikia idadi ya pasi za usaidizi wa magoli (Assist) kwenye Ligi kuu nchini England akifikisha Assist (37).

Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Manchester City Benardo Silva amefikia idadi ya pasi za usaidizi wa magoli (Assist) kwenye Ligi kuu nchini England akifikisha Assist (37). Idadi hiyo inamfanya kuifikia rekodi ya Cristiano Ronaldo ambae anakipiga nae Timu ya Taifa ya Ureno.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live