Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Berkane yamfuta kazi kocha wake

Berkane Abdelhak Benchikha Berkane yamfuta kazi kocha wake

Sat, 12 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya RS Berkane imemtimua kocha Abdelhak Benchikha baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika.

Klabu ya RS Berkane imemtimua kocha Abdelhak Benchikha baada ya klabu hiyo kushindwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho Afrika. Berkane imekuwa ikifuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo kwa misimu iliyopita huku ikitwaa kombe hilo mara mbili na ndio Bingwa mtetezi wa michuano hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live