Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benzema bado kitendawili kukipiga Jumapili dhidi ya Argentina

Kareem Benzema Karim Benzema

Fri, 16 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Ufaransa, Karim Benzema hatokuwepo kwenye kikosi cha Ufaransa kuelekea fainali kama inavyoripotiwa ila atavaa medali yake endapo watatwaa ubingwa siku ya Jumapili mbele ya Argentina kwa kuwa jina lake halijakatwa.

Benzema yupo jijini Madrid ambapo jana aliiongoza timu hiyo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Leganes, ikidhihirisha kuwa afya yake imetengamaa.

Benzema alipata majeraha siku cheche kabla ya kuanza kwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar lakini alijumuishwa na Mwalimu Deschamps katika kikosi cha Ufaransa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live