Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benzema arudi Madrid kutibiwa

Karim Benzema Hat  Trick Benzema arudi Madrid kutibiwa

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambulijaj wa Al Ittihad ya Saudi Arabia, Karim Benzema amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Real Madrid, Valdebebas, kufanywa vipimo zaidi na kupata msaada wa kitabibu kutokana na majeraha yake.

Al Ittihad imethibitisha hilo na kuwashukuru Real Madrid kwa msaada wao.

Hii kibongo bongo inaweza kufanyika?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live