Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beno kutimkia JKT Tz, tatizo nini?

Beno Kakolanya Tanga Beno Kakolanya

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vyanzo vya kuthibitika vinasema kuwa Mlinda lango wa klab ya Singida Big Stars Beno kakolanya atajiunga na klab ya JKT Tanzania kwa mkopo nusu Msimu.

Vyanzo vya kuthibitika vinasema kuwa Mlinda lango wa klab ya Singida Big Stars Beno kakolanya atajiunga na klab ya JKT Tanzania kwa mkopo nusu Msimu. Beno alijiunga na klabu ya Singida Big Stars baada ya kuachana na Simba SC msimu uliopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live