Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beno Kakolanya amechangia wenzake kuchapwa na Yanga - Derick Lissu

Beno Kakolanya Amechangia Wenzake Kuchapwa Na Yanga   Derick Lissu Beno Kakolanya amechangia wenzake kuchapwa na Yanga - Derick Lissu

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka Derick Lissu amesema, golikipa namba moja wa Ihefu FC, Beno Kakolanya amewaponza wenzake kichapo cha 3-0.

“Ishu ya Beno naamini imechangia kwa kiasi kikubwa Singida kufungwa goli 3,unapomzungumzia Beno ni kipa wa zamani wa Yanga,Simba na hata timu ya Taifa”

“Magoli ya leo yote yalikuwa ni ya aina moja , mipira inapigwa juu kwa Beno huwenda angeukutq”

“Naamini kumbadilisha kipa katika dakika za kukaribia mchezo huwenda hakujiandaa kisaikolojia.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live