Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beno Kakolanya: Ally Salim ni Golikipa mzuri, Sikua naumia akianza mbele yangu

Kakolanya X Ally Salim Beno Kakolanya na Ally Salim

Thu, 22 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliekuwa Mlinda mlango wa Simba SC, Beno Kakolanya amesema kuwa hakuwa anaumia wala kujisikia vibaya bwana mdogo Ally Salim kuanza badala yake katika mechi za Simba baada ya majeraha ya Aishi Manula.

Beno anasema maneno ya watu yaliyokuwa yanazungumzwa mitandaoni kuwa kwa nini aanze Ally wakati yeye Golikipa namba mbili hakuwa anayajali sana kwani hayta yeye alianza kuapata nafasi akiwa Prison kwa staili kama hiyo.

Beno anasema mara zote ambazo Ally alikuwa akipewa nafasi alikuwa anamuombea dua afanye vizuri ili aweze kuaminiwa na pia ameongeza ni Golikipa mzuri iwapo atafanyia kazi makosa yake madogo madogo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: