Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benjamin Mendy Ashitakiwa kwa Makosa ya Ubakaji

Skysports Mendy Man City Football 5491043?fit=800%2C450&ssl=1 Mlinzi wa Man City, Benjamin Mendy

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa klabu ya Manchester City Benjamin Mendy ameshitakiwa kwa makosa ya ubakaji kwenye mahakama ya Chester Crown Court aliposimama kusikiliza mashitaka ya kisomwa.

Mendy kwa sasa anashitkiwa kwa makosa nane tofauti dhidi ya wanawake watano ikihusishwa makosa saba ya ubakaji yanayowahusu wananwake wanne tofauti, makosa ya matatu ya awali ya ubakaji yalitokea October 11 2020, unyanyasi wa kingono, January 2 2021, kosa lingine July 24 2021 na makosa mawili ya ubakaji August 23 2021.

Benjamin Mendy aliwasili leo mahakamani akiwa amevalia suti nyeusi na alisimama kuzungumza kuweza kuthibitisha jina lake tu baada ya hapo hakuruhusiwa tena kuzungumza ili kupisha taratibu zingine ziendelee.

tarehe ya kusikilizwa tena kesi yake imepangwa tena hadi January 24 mwaka ujao huku tarehe ya hukumu iktarajiwa kuwa kati ya June 27 au August 1, kwa sasa karudishwa tena lumande.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live