Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha kocha mpya KS Kabylie

Benchikha 0013 Kocha Abdelhak Benchikha

Mon, 1 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Simba SC, Abdelhak Benchikha raia wa Algeria ameajiriwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya JS Kabylie ya nchini mwao.

Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Simba SC, Abdelhak Benchikha raia wa Algeria ameajiriwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya JS Kabylie ya nchini mwao. Amepewa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mkataba mwingine katika klabu hiyo ya Algeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live