Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha apimwe kwa mechi 10

Benchikha Apimwe Kwa Mechi 10 Benchikha apimwe kwa mechi 10

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka Bongo George Ambangile, amesema kocha mpya wa Simba SC, anapaswa kupewa muda kabla ya watu kuhukumu kama anaweza kuiletea Simba mafanikio au la.

Ambangile ametoa kauli hiyo leo Novemba 30, 2023 alipokuwa akijibu swali la mtangazaji Ahmed Abdallah wa Wasafi FM aliyehoji je Kocha mpya wa Simba, apewe mechi ngapi ndio ajadiliwe staili ya uchezaji na matokeo.

"Benchikha apewe Mechi zisizopungua 10 angalau tutaanza kuona timu yake inavyocheza na kusisitiza, anahitaji muda ukizingatia amekosa preseason na Kikosi hicho," alisema Ambangile.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live