Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha aanza na viungo watatu wakabaji dhidi ya Kagera

Simba Ya Benchikha Ni Kama Kupokea Mshahara   Ahmed Ally.jpeg Benchikha aanza na viungo watatu wakabaji dhidi ya Kagera

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha leo ameingia kwa staili tofauti katika mechi yake dhidi ya Kagera Sugar.

Leo ameanza na Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma na Mzamilu Yassin tofauti na michezo yake miwili iliyopita ambayo alikuwa akiwatumia Ngoma na Kanoute.

Mechi inapigwa jioni hii majira ya saa 10 kamili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC 2023-24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live