Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha: Tunautaka ushindi kesho dhidi ya Wydad

Benchikha: Tunautaka Ushindi Kesho Dhidi Ya Wydad Benchikha: Tunautaka ushindi kesho dhidi ya Wydad

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema anafahamu mchezo wa kesho dhidi ya Wydad AC itakuwa ngumu lakini ataingia kwa umakini mkubwa.

Amesema, mchezo huo unahitaji nguvu ya pamoja ili kuhakikisha wanapata ushindi ili waweze kusonga mbele.

"Mechi hii ni muhimu kwetu kupata ushindi ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kusonga mbele hatua inayofuata, tunatakiwa kuwa na nguvu ya pamoja na umakini mkubwa, wachezaji wangu wanao uwezo wa kulitimiza hili na wanajiamini kwa ajili ya kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Wydad," alisema Benchikha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live