Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchikha: Sijaridhishwa na kiwango cha timu yangu

Benchikha Ushindi.png Benchikha: Sijaridhishwa na kiwango cha timu yangu

Tue, 2 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mchezo wa Jku Vs Simba mchezo ambao Mnyama ameibuka na ushindi wa goli tatu Kwa moja kocha mkuu wa kikosi cha Simba (Benchika) ameweka wazi kuwa hajaridhishwa na kiwango cha Timu yake

"Sijaridhishwa na performance yetu Leo tumefanya makosa mengi," amesema Benchika baada ya mchezo huo.

Hata hivyo, Benchikha aliwapongeza wachezaji wake kwa kufanya vizuri hususan kijana ingizo jipya Karabaka ambaye alitupia goli ndani ya dakika mbili baada ya kuingia mchezoni akitokea benchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live