Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Benchi linavyoua kipaji cha Kibwana

Kibwanaaa W2 C.jpeg Benchi linavyoua kipaji cha Kibwana

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inanikumbusha kauli aliyowahi kuzungumza mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga SC, Kibwana Shomari baada ya kusajiliwa Attohoula Yao msimu uliopita kuwa kazini kwake kuna kazi kutokana na ushindani mkubwa na kiwango alichoonyesha Yao hadi kuingia kikosi cha kwanza.

Namuangalia Kibwana ambaye amepoteza nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Yanga kutokana na ubora wa full back Attohoula Yao, lakini hata anapokosekana Yao mara kadhaa kocha anaamua kuanza na Dickson Job kama mlinzi wa kulia badala ya Kibwana.

Benchi halijawahi kumfanya mchezaji akawa bora zaidi ya kushusha kiwango, Yanga ushindani ni mkubwa Kibwana ana kazi ya kufanya kwenye kikosi cha wananchi ili awe replacement sahihi hata pale ambapo anakosena Yao Attohoula.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live