Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ben Foster astaafu soka kwa mara ya pili

Ben Foster Second Time Ben Foster astaafu soka kwa mara ya pili

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda Mlango wa zamani wa Ligi ya England, Ben Foster kwa mara nyingine tena ametangaza kustaafu.

Foster (40) alistaafu mwaka jana mwezi Septemba baada ya kutoka Watford, mwezi Machi mwaka huu alirudi uwanjani na kusaini mkataba mfupi na Wrexham.

Kupitia tovuti ya Wrexham , Foster amesema “ Kuweka ukweli utedaji wangu katika msimu huu haujawa wa viwango vizuri nilivyovitaka mimi, na naona umefika wakati wa mimi kustaafu”

”Uamuzi huu si kwa manufaa yangu tu bali nimeifikiria klabu pia”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live