Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bellingham yupo sana Real Madrid

Bellingham 5 Jude Bellingham

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Timu ya Taifa ya England na Real Madrid Jude Bellingham amewahakikishia mashabiki wa Real Madrid kuwa yupo sana katika viunga vya Santiago Bernabeu.

Akizungumzia uwepo wake katika Klabu hiyo Bellingham anasema;

Mchezaji wa Real Madrid, Jude Bellingham ameeleza kuwa anataka kuichezea Real Madrid kwa muda wa miaka 10 hadi 15 katika maisha yake ya Soka.

“Hapa ndipo nilipotaka kuwepo, naipenda Madrid”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live