Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bellingham mchezaji Bora kijana wa UEFA

Britain Soccer Champions League Final 48048 Jude Bellingham

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) imemchagua Kiungo Mshambuliaji hatari wa Klabu ya Real Madrid,Jude Bellingham kuwa Mchezaji bora kinda wa Msimu wa 2023/24 wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kuisaidia Klabu yake kutwaa Ubingwa wa kombe hilo.

Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) imemchagua Kiungo Mshambuliaji hatari wa Klabu ya Real Madrid,Jude Bellingham kuwa Mchezaji bora kinda wa Msimu wa 2023/24 wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya baada ya kuisaidia Klabu yake kutwaa Ubingwa wa kombe hilo. Madrid wamebeba taji lao la 15 la UEFA Juni 1 katika mchezo wa Fainali dhidi ya Dortmund.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live