Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bellingham hawezi kuwa bora Gerrard, Lampard, na Scholes - Owen

Jude Bellingham El Classico Jude Bellingham.

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Liverpool, Real Madrid, Newcastle United, Manchester United and Stoke City na timu ya Taifa ya Uingereza, Michael Owen amesema kuwa, kiungo mshambuliaji wa Madrid, Jude Bellingham hawezi kuwa bora kwa kushinda La Liga pekee.

Owen amesema kuwa, Jude ambaye ni nyota wa Timu ya Taifa ya Uingereza anapaswa Kombe hilo mara nyingi, kutwaa UEFA pamoja na Euro ili kuwafikia baadhi ya nyota ambao wamewahi kupita katika timu hizo.

"Jude Bellingham hawezi kua bora moja kwa moja kuliko Gerrard, Lampard, na Scholes ikiwa atashinda La Liga, Ligi ya Mabingwa na Euro 2024 mwaka ujao. Hata angeshinda Ballon d'Or.

"Wachezaji hao walifanya hivyo kwa miaka na miaka na hawakushuka kiwango chao. Anahitaji kufanya hivyo kwa miaka mitano, sita, au saba ili kuwa huko pamoja nao."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live