Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bellingham ashinda Kopa Trophy 2023

IMG 6154.jpeg Jude Bellingham, Mshindi wa Kopa Trophy 2023

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Real Madrid timu ya Taifa England, Jude Bellingham ameshinda tuzo Kopa Trophy kama mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21 kwenye hafla la tuzo za Ballon d'or 2023.

Bellingham imeibuka kidedea na kutwaa tuzo hiyo mbele ya :-

Jude Bellingham (1)

Jamal Musiala (2)

Pedri (3)

Eduardo Camavinga (4th)

Gavi (5th)

Xavi Simons (6th)

Alejandro Baldé (7th)

António Silva (8th)

Rasmus Højlund (=9th)

Elye Wahi (=9th)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live