Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bellingham aingia matatani La Liga

GFV BdfWgAATegb.jpeg Bellingham aingia matatani La Liga

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Getafe imemshtaki kiungo wa Real Marid Jude Bellingham kwenye uongozi wa La Liga wakidai kwamba amemtolea maneno ya kuudhi mshambuliaji wao Mason Greenwood.

La Liga inachunguza maneno hayo yanayodaiwa kuwa ya kuudhi ambayo yameyotolewa na Jude Bellingham.

Wanadai alimuita "MMBAKAJI"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live