Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki wa Manchester United afungiwa mechi 7, amvunja mtu mbavu

Eric Bailly Seven Matches Beki wa Manchester United afungiwa mechi 7, amvunja mtu mbavu

Sat, 21 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Manchester United Eric Bailly anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Marseille amefungiwa kucheza mechi 7 baada ya kumtandika teke la Kung-Fu kiungo wa Heryes FC Almike N'diaye kwenye mchezo wa Kombe la Ufaransa uliopigwa January 7.

Bailly alioneshwa kadi nyekundu kwa faulo hiyo mbaya na mchezaji huyo alikimbizwa hospitali.

Baada ya kufanyiwa vipimo imethibitika N'diaye amevunjika baadhi ya mbavu huku akiugulia maumivu kwenye maeneo ya Mapafu na Ini...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live