Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki wa Arsenal nje miezi 6

Image 193 1140x640.png Mlinzi wa Arsenal Jurrien Timber

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Arsenal Jurrien Timber atakaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi 6 hadi 7 baada ya kuvunjika kano ya goti (ACL).

Mlinzi wa Arsenal Jurrien Timber atakaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi 6 hadi 7 baada ya kuvunjika kano ya goti (ACL). Mlinzi huyo aliejiunga na Arsenal msimu huu akitokea Ajax aliumia katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Nottigham Forest.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live