Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki kisiki wa KMC atua Mashujaa

Ally Oviedo.jpeg Mlinzi Ally Ramadhan Oviedo

Fri, 4 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi Ally Ramadhan Oviedo amejiunga na klabu ya Mashujaa FC ya Kigoma akitokea KMC ya Dar es salaam.

Mlinzi Ally Ramadhan Oviedo amejiunga na klabu ya Mashujaa FC ya Kigoma akitokea KMC ya Dar es salaam. Mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu 2022-23 aliitumikia Ihefu kabla ya kurejea KMC ambako ndipo alitokea wakati anajiunga na Ihefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live